Azam TV yawanasa Ramadhani Brothers baada ya kung'aa Australia's Got Talent
Azam TV
0:00 / 0:00
Azam TV yawanasa Ramadhani Brothers baada ya kung'aa Australia's Got Talent
55 996 просмотров · 3 года назад
Azam TV
3,29 млн подписчиков
55 996 просмотров · 3 года назад
Watanzania Ibrahim (36) na Fadhil Ramadhan (26) wanaounda kundi la Ramadhani Brothers wamefanikiwa kutinga nusu fainali ya mashindano ya Australia's Got Talent baada ya kupata 'Golden Buzzer' kwenye mashindano hayo kwa kuwaibua majaji kwenye onesho la usiku wa Oktoba 16, 2022.