🔴 #live | DAY 2 | IBADA ASUBUHI | MAKAMBI MTAA WA MTWARA 2025 | PR. FILBERT MWANGA
BW MEDIA
0:00 / 0:00
🔴 #live | DAY 2 | IBADA ASUBUHI | MAKAMBI MTAA WA MTWARA 2025 | PR. FILBERT MWANGA
100 просмотров · Трансляция закончилась 1 г. назад
BW MEDIA
7,12 тыс. подписчиков
100 просмотров · Трансляция закончилась 1 г. назад
Southern Corridor Field Tanzania
Karibu kwenye matangazo ya moja kwa moja ya Makambi ya Mtaa wa Mtwara - 2025
Jiunge nasi tukianza wiki ya ibada, maombi, na mafundisho yanayogusa moyo, yakiongozwa na wahubiri mahiri na vikundi mbalimbali vya uimbaji.
🌟 Kauli mbiu: “Nitakwenda Nikimtumaini Yesu”
📍 Mahali: Mtaa wa Mtwara
📅 Mwaka: 2025
✨ Usikose neema ya mwanzo ushiriki huu unaweza kuwa mwanzo wa mabadiliko katika maisha yako ya kiroho
. 📲 SUBSCRIBE kwa chaneli yetu kwa ajili ya matukio mengine ya kiroho.
👍 LIKE, COMMENT, na SHARE ili ujumbe huu uwafikie wengi zaidi!