SERIKALI YAUFYATA: Mgomo wa Madereva Wafanikiwa, Presha ya Wanaharakati Yasaidia!
JasusiTV
0:00 / 0:00
SERIKALI YAUFYATA: Mgomo wa Madereva Wafanikiwa, Presha ya Wanaharakati Yasaidia!
7 643 просмотра · 9 часов назад
JasusiTV
107 тыс. подписчиков
7 643 просмотра · 9 часов назад
Hatimaye serikali ya SAMIA SULUHU HASSAN imeufyata kwa madereva kufuatia mgomo wao mkubwa hapo jana. Wakati umoja na mshikamano wa madereva hao ndio uliwezesha mgomo huo wakihistoria kufanikiwa, presha ya wanaharakati mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii nayo ilichangia baada ya serikali kutaharuki kwamba madereva hao wanaweza kushiriki maandamano yanayopangwa kufanyika Oktoba 29
#mgomowamadereva #tanzania #habari
TANGAZO: Pata vitabu vipya vya MKASA WA NCHIMBI, MAISHA HATARINI (chenye mbinu mbalimbali za kukusaidia kujikinga dhidi ya janga la utekaji) na MTANDAO ambacho ni rowaya ya kijasusi. Pata kopi yako hapa https://jasusistore.com