Перейти к содержимому

UJUMBE WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2024 NA NDG. MARIA MAPUNDA | MKIMBIZA MWENGE KITAIFA.

GACHI TV Online

0:00 / 0:00

UJUMBE WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2024 NA NDG. MARIA MAPUNDA | MKIMBIZA MWENGE KITAIFA.

471 просмотр · 2 года назад
GACHI TV Online
50,3 тыс. подписчиков
471 просмотр · 2 года назад
Ndg. Maria Fedrick Mapunda, mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa ametoa ujumbe mzuri wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 akiwa katika jukwaa la viwanja vya Ndua vilivyopo Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa. Karibu kusikiliza ujumbe huu. Tazama video hii hadi mwisho pia usisahau ku bonyeza neno Subscribe ili kuwa wanafamilia wa GACHI TV Online Asante na Mungu akubaliki.