Перейти к содержимому

Amri 10 za Ndoa: Ziishi ili Uifikie Ndoa ya Ndoto Yako

Seraphia Mgembe

0:00 / 0:00

Amri 10 za Ndoa: Ziishi ili Uifikie Ndoa ya Ndoto Yako

1 377 просмотров · 1 год назад
Seraphia Mgembe
2,51 тыс. подписчиков
1 377 просмотров · 1 год назад
Ndoa nyingi zinavunjika kutokana na wanandoa kushindwa kusimamia misingi ya ndoa. Amri 10 za ndoa ni moja ya mising ya ndoa ambayo wanandoa wakiiishi watafikia ndoa za ndoto zao kwa namna bora kabisa. Video hii inawaalika wanandoa wote na wale wanaojiandaa kuwa wanandoa basi kuangalia na kujifunza amri hizi ili waziishi na hatimae kufikia ndoa za ndoto zao. Timecode: 00:00 - 00:33 Utangulizi 00:34 - 00:49 Amri 10 za Ndoa 00:50 - 01:34 Amri Na. 1: Mpende Mwenza wako kwa Moyo wako Wote 01:35 - 02:18 Amri Na. 2: Weka Mawasiliano Wazi 02:19 - 03:12 Amri Na. 3: Hashimu Tofauti Zenu 03:13 - 04:14 Amri Na. 4: Kuwa Mwaminifu Kamili 04:15 - 05:35 Amri Na. 5: Tambua Mchango wa Mwenzako 05:36 - 06:50 Amri Na. 6: Usihesabu Makosa 06:51 - 07:41 Amri Na. 7: Shirikianeni Katika Kufanya Maamuzi 07:42 - 08:13 Amri Na 8: Jengeni Upya Upendo wenu mara kwa mara 08:14 - 08:55 Amri Na. 9: Kumbuka kwamba ndoa yenu ni mkataba wa milele 08:56 - 09:14 Amri Na.10: Muwe na Uvumilivu na Mshikamano 09:15 - 09:44 Hitimisho