TANESCO wavamia na kutoboa matairi, wenye magari waongea
Millard Ayo
0:00 / 0:00
TANESCO wavamia na kutoboa matairi, wenye magari waongea
22 861 просмотр · 8 лет назад
Millard Ayo
6,21 млн подписчиков
22 861 просмотр · 8 лет назад
Asubuhi ya leo July 24, 2018 maeneo ya Ubungo Msewe katika Uwanja wa China ambapo watu wanaodaiwa kuwa ni watu wa TANESCO wametoboa matairi ya magari yaliyokuwa yamepaki katika uwanja wa china huku taarifa za awali zikidai ni kwasababu ya nguzo za Umeme mkubwa uliopita katika eneo hilo.
Mwenyekiti wa mtaa wa Msewe amezungumza ambapo yeye anadai kuwa hakupewa taarifa yeyote kuhusu tukio hilo ambapo Ayo TV inajitahidi kuwatafuta wahusika kutoka TANESCO ili wazungumzie hilo.