Перейти к содержимому

BWANA AMETUSAIDIA by Christina Matai

Christina Matai

0:00 / 0:00

BWANA AMETUSAIDIA by Christina Matai

1 038 просмотров · 1 год назад
Christina Matai
2,11 тыс. подписчиков
1 038 просмотров · 1 год назад
Kuna mahali mtu unaweza kupita na ukajiona kabisa umeshindwa😩 lakini ghafla! Ukajiona tena una nguvu ya kuendelea mbele, hapo sasa ndo pale unaelewa kabisa kwamba si wewe umeweza ila ni Mungu ambaye kwenye neno lake amejiita EBENEZA 1:Samwel 7:12 Mungu akuvushe kwenye hiyo changamoto unayopitia kwa jina la Yesu.