Перейти к содержимому

LIJUE CHIMBO LA VIATU MKOANI MWANZA

CB Online Tv

0:00 / 0:00

LIJUE CHIMBO LA VIATU MKOANI MWANZA

3 804 просмотра · 3 года назад
CB Online Tv
1,34 тыс. подписчиков
3 804 просмотра · 3 года назад
Baada ya kumaliza elimu yangu ya sekondari nilingia mtaani kutafuta maisha ndipo nilipo jisogeza paka kwenye jiji la miamba Mwanza alimaarufu rock City Nilipofika tu Mwanza nilianza na biashara ya kuuza viatu vya kike simple zile bei ndogo nilifanya ile biashara kwa kipindi cha miezi miwili tu. Nikabadili biashara na kuanza kuuza simu za mkononi nilifanya biashara ya simu kwa mwaka moja tu Kwa mara nyingine tena nikabadili tena biashara nakuanza kuuza viatu na sandals biashara ya viatu na sandals ndio ninafanya paka muda huu ni biashara nzuri sana ambayo ukiwa nayo makini unaweza kutajirika na kusahau umasikini kabisa Unajua kwanini nakuambia hivyo hii biashara nimeifanya kwa miaka 7 ni biashara nzuri sana naitambua vizuri Inachangamoto ila siyo kubwa sana kama za biashara nyingine ambazo nimefanya. Uzuri hii biashara cha kwanza kuna faida kubwa sana na inamzunguko mkubwa sana Unaweza kupata paka 60 elfu kwa katoni moja tu ata zaidi na hii katoni moja unaweza kuuza kwa siku au wiki inategemea sana mzunguko wako. Karibu kwenye biashara ya viatu.