Перейти к содержимому

PITIO LA KITABU: Maisha Yangu cha Khamis Abdullah Ameir

Gumzo la Ghassani

0:00 / 0:00

PITIO LA KITABU: Maisha Yangu cha Khamis Abdullah Ameir

16 297 просмотров · 2 года назад
Gumzo la Ghassani
44,3 тыс. подписчиков
16 297 просмотров · 2 года назад
Khamis Abdullah Ameir alikuwa mjumbe wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar kwa miaka minane, lakini alipouliwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, Abeid Karume, mnamo Aprili 1972, naye akaingia kwenye mkumbo wa Wazanzibari waliokamatwa wakituhumiwa kwa mauaji hayo. Mohamed Said na Mohammed Ghassani wanapitia kitabu chake, Maisha Yangu: Miaka Minane kwenye Baraza la Mapinduzi: Khaini au Msaliti wa Mapinduzi?