Перейти к содержимому

Mrima Alipwa Kuisaliti Kabila Lake | Nguu za Jadi

Climax Films

0:00 / 0:00

Mrima Alipwa Kuisaliti Kabila Lake | Nguu za Jadi

25 702 просмотра · 1 год назад
Climax Films
63,5 тыс. подписчиков
25 702 просмотра · 1 год назад
Mangwasha alipata bahasha chumbani kilichokuwa na mabunda ya pesa. Nani alikuwa amempa Mrima pesa hizi na kwa nini? Upekuzi wake Mangwasha ulimfikisha hadi kwa hasidi wao wa jadi, Sagilu. Ni lipi Mangwasha angefanya baada ya kugundua Mrima amekubali pesa ili aisiliti jamii yake? Tazama filamu mzima ya Nguu za Jadi katika app yetu ya Soma Sasa inayopatikana katika Google Play Store. Unaweza kununua miongozo yetu ya Climax Publishers 3 in 1 katika tovuti yetu: climaxpublishers.org