Перейти к содержимому

FEI TOTO AFUNGUKIA DILI LAKE SIMBA, YANGA

Mwananchi Digital

0:00 / 0:00

FEI TOTO AFUNGUKIA DILI LAKE SIMBA, YANGA

419 просмотров · 5 часов назад
Mwananchi Digital
1,22 млн подписчиков
419 просмотров · 5 часов назад
‎Kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema kwa sasa hawezi kuzungumzia kwa kina kuhusu namna mambo yalivyokuwa katika kipindi cha dirisha la usajili lililofungwa Agosti 15, 2026, ambapo alihusishwa na uwezekano wa kujiunga na Simba au Yanga. ‎ ‎Fei Toto amesema hawezi kulizungumzia suala hilo kwa sasa kwa sababu bado ana mkataba wa mwaka mmoja na Azam hadi mwisho wa msimu wa 2026/27. Hata hivyo, amewaomba mashabiki wa soka waendelee kumpa sapoti katika kipindi hiki. ‎ ‎Fei Toto ameyasema hayo leo, Septemba 10, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar es Salaam, katika Media Day iliyoandaliwa na klabu hiyo. ‎ #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj