Перейти к содержимому

MWANAMKE NI MTU AMBAE ANAEHITAJI NASAHA MARA KWA MARA: SOMO LA 05/06

Jifunze Kuongea Kiarabu Online

0:00 / 0:00

MWANAMKE NI MTU AMBAE ANAEHITAJI NASAHA MARA KWA MARA: SOMO LA 05/06

45 просмотров · 8 дней назад
Jifunze Kuongea Kiarabu Online
3,93 тыс. подписчиков
45 просмотров · 8 дней назад
TUMEANZISHA Group kwaajili ya ambao wangependa kujifunza kuongea kiarabu. Katika Group hili utapata nafasi ya kipekee kuuliza maswali tofauti tofauti ya kiarabu. Pia utapata nafasi ya kufanya mazoezi ya namna ya kuongea kiarabu. ANGALIZO: Ili uweze kuungwa kwenye Group hili ni lazima uwe umetoa kuanzia TShs 5,000/=Tu kwa halie ndani ya Tanzania na halie nje ya Tanzania ni Tshs 10,000/= Tu utaunganishwa moja kwa moja katika Group letu la WhatsApp. LENGO: La kuanzisha Group hili ni kwaajili ya kuwasaidai watu ambao wapo siriazi na wanaitaji kujifunza kuongea kiarabu. SISI tumejitoa kuakikisha kwamba kwa uwezo wa ALLAH kila Mtanzania apate kuimudu lugha ya kiarabu kwa wepesi, ili kuweka usawa kwa wote. HAKUNA MALIPO YA ADA KWA MWEZI WALA KWA MWAKA KWENYE GROUP HILI. KIINGILIO CHAKO NI KUANZIA TSHS 5000/=TU KWA HALIE NDANI YA TANZANIA NA HALIE NJE YA TANZANIA TSHS 10,000/= TU INSHAALLAH MAELEZO ZAIDI TUPIGIE +255 621 552262 +255 715 953766