Перейти к содержимому

LIVE|| MISA TAKATIFU YA JUBILEI YA ASKOFU KILAINI - BUKOBA

Kayanga Catholic Diocese Online TV

0:00 / 0:00

LIVE|| MISA TAKATIFU YA JUBILEI YA ASKOFU KILAINI - BUKOBA

2 348 просмотров · Трансляция закончилась 1 г. назад
Kayanga Catholic Diocese Online TV
4,01 тыс. подписчиков
2 348 просмотров · Трансляция закончилась 1 г. назад
ibu tushiriki pamoja Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei ya miaka 25 ya Uaskofu wa Mhashamu Method Kilaini, Askofu msaidizi mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba. Misa Takatifu inaadhimishwa Parokia ya Bikira Maria Mama mwenye Huruma Kanisa Kuu Bukoba na Mhashamu Method Kilaini, Askofu msaidizi mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba. Katika Misa hii yupo Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Maaskofu Wakuu, Maaskofu Wastaafu, Maaskofu, Mapadre na Watawa wa kike na wa kiume.