Перейти к содержимому

KAMA UTAAMUA TU KUBADILIKA - KILA KITU KITABADILIKA KWENYE MAISHA YAKO | JAMES ATILIO

James Atilio

0:00 / 0:00

KAMA UTAAMUA TU KUBADILIKA - KILA KITU KITABADILIKA KWENYE MAISHA YAKO | JAMES ATILIO

2 178 просмотров · 2 нед. назад
James Atilio
6,42 тыс. подписчиков
2 178 просмотров · 2 нед. назад
Mabadiliko ya kweli katika maisha yako yanaanza na uamuzi wako wa kubadilika. Usisubiri watu wabadilike. Usisubiri mazingira yawe mazuri. Usisubiri kesho iwe tofauti. Anza na wewe mwenyewe. Unapobadilisha namna unavyofikiri, unavyofanya maamuzi, unavyotumia muda wako na namna unavyoishi, hatua kwa hatua utaanza kuona mabadiliko katika maisha yako. Kama utaamua tu kubadilika, kuna mengi yanaweza kubadilika kwenye maisha yako. Amini kwamba inawezekana. Amua kuchukua hatua. Anza leo. #INAWEZEKANA #Amini #Amua #JamesAtilio #MaendeleoBinafsi #Kujitambua #Mabadiliko #Motisha #Nidhamu #Mafanikio #Maisha #NdotoYakoInawezekana