AFISA KILIMO WA HALMASHAURI YA MPWAPWA AKIELEZEA VIPANDO VYA ENEO LA HALMASHAURI YA MPWAPWA.
MPWAPWA DC
0:00 / 0:00
AFISA KILIMO WA HALMASHAURI YA MPWAPWA AKIELEZEA VIPANDO VYA ENEO LA HALMASHAURI YA MPWAPWA.
29 просмотров · 12 дней назад
MPWAPWA DC
73 подписчика
29 просмотров · 12 дней назад
Leo, Agosti 6, 2026, Afisa Kilimo wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa, Bi. Christina Kasilima, amewakaribisha wakulima waliotembelea vipando vya Halmashauri katika Maonesho ya Nane Nane, Dodoma. Katika ziara hiyo, amewapatia elimu na mbinu za kilimo cha kisasa pamoja na kutoa maelezo ya kina kuhusu vipando mbalimbali vilivyopo katika eneo la maonesho, ili kuwawezesha wakulima kujifunza teknolojia na mbinu bora za kuongeza tija katika uzalishaji wa mazao.