Majibu ya Serikali Ombi la Mwakilishi, Ndege Moja ya ATCL Kupelekwa Kufanya Safari za Pemba Unguja
The Chanzo
0:00 / 0:00
Majibu ya Serikali Ombi la Mwakilishi, Ndege Moja ya ATCL Kupelekwa Kufanya Safari za Pemba Unguja
1 039 просмотров · 1 день назад
The Chanzo
260 тыс. подписчиков
1 039 просмотров · 1 день назад
Mwakilishi wa jimbo la Mkoani Hamisi Mohamedi Amran alikua akiuliza swali katika Baraza la Wawakilishi kwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzuji Zanzibar kuhusu uwezekano wa ndege moja ya ATCL aina ya Bombadier Q300 kuelekwa kufanya safari katika njia ya Unguja Pemba ili kuongeza wingi wa safari hata hivyo Serikali kupitiza Wizara ya Uchukuzi imesema Ndege zinatosheleza na wananchi wana,macaguo mengi ya kusafiri siyo tu kwa anga bali pia kwa njia ya maji ambapo Serikali imeboresha njia ya maji pia