LIVE#MISA TAKATIFU DARAJA LA UPADRE JIMBO KATOLIKI IRINGA
JIMBO KATOLIKI IRINGA ONLINE TV
0:00 / 0:00
LIVE#MISA TAKATIFU DARAJA LA UPADRE JIMBO KATOLIKI IRINGA
2 822 просмотра · Трансляция закончилась 1 месяц назад
JIMBO KATOLIKI IRINGA ONLINE TV
15,2 тыс. подписчиков
2 822 просмотра · Трансляция закончилась 1 месяц назад
Misa hii ya Daraja takatifu la Upadre inaadhimishwa na Mhashamu Romanus Mihali Askofu wa Jimbo Katoliki Iringa katika kanisa Kuu la Kiaskofu la Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu Kihesa ya Jimbo hilo.
Mashemasi hao ni Christian Paulinus Kigunga na Remus Mdemu kutoka Parokia ya Ulete, Erick Rweyemamu na Sebastian Pangani Kutoka Parokia ya Ipogolo, Joseph Herman Lugala wa Parokia ya Isimani pamoja na Shemasi Petro Francisco Simba wa Parokia ya Migoli
Misa hiyo itaadhimishwa kuanza saa 3:00 asubuhi, ambapo imetanguliwa na masifu ya jioni siku ya tarehe 12, Agosti katika Kanisa hilo.
Tuwaombee Mashemasi wetu wanapoelekea kupewa daraja hilo takatifu
Nyote mnakaribishwa kushiriki tukio hili takatifu
@Jimbo Katoliki Iringa
#twekampakakilindini
#idarayahabarinamawasilianojimbokatolikiiringa