Перейти к содержимому

Somo la 1: Msingi wa Kupiga Piano Kanisani 🎹 | kwa Beginners

Pianovexa

0:00 / 0:00

Somo la 1: Msingi wa Kupiga Piano Kanisani 🎹 | kwa Beginners

2 931 просмотр · 6 месяцев назад
Pianovexa
7,99 тыс. подписчиков
2 931 просмотр · 6 месяцев назад
Karibu kwenye Somo la 1 la kujifunza kupiga piano kanisani 🎹 Katika video hii utajifunza: ✅ Role ya mpiga piano kanisani ✅ Jinsi ya ku-support mwimbaji wakati wa worship ✅ Chords za msingi katika Key of F# (F#, B, C#) ✅ Jinsi ya kutumia mkono wa kushoto na wa kulia vizuri ✅ Progression rahisi: F# – B – C# – F# Somo hili linafaa kwa: Beginners wanaoanza kabisa Watu wanaojua kidogo lakini wanataka kupiga kwa confidence ibadani Wapiga piano wa kanisani wanaotaka kuboresha msingi wao 🎯 Homework: Fanya mazoezi ya chords F#, B, na C#. Jaribu kuzibadilisha polepole bila kukatisha sauti na uambatane na wimbo wowote rahisi wa worship. Usisahau: 👍 Like 🔔 Subscribe ili usikose masomo yanayofuata Kesho tutajifunza progression za gospel zinazotumika sana kanisani.