Перейти к содержимому

UCHAMBUZI WA KATIKATI YA MUHULA MAREKANI | Ushindi wa Democrats una maana gani kwa Rais Trump?

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

UCHAMBUZI WA KATIKATI YA MUHULA MAREKANI | Ushindi wa Democrats una maana gani kwa Rais Trump?

13 590 просмотров · 2 дн. назад
UTV Tanzania
188 тыс. подписчиков
13 590 просмотров · 2 дн. назад
Chama cha Democrats kimeibuka kinara kwenye Uchaguzi wa Katikati ya Muhula nchini Marekani na kufanikiwa kudhibiti mabunge yote mawili ya nchi hiyo, Bunge la Wawakilishi (Congress) na Bunge la Seneti (Senate). Je, hatua hiyi ina tafsiri gani kwa mamlaka ya Rais Trump na mambo yanayoendelea katika siasa za nchi hiyo ikiwemo mashambulizi dhidi ya Iran? Uchambuzi unatolewa na Abdushakur Aboud na Mchungu.