Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa aitikisa Mamlaka ya Bandari
Gerson Msigwa
0:00 / 0:00
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa aitikisa Mamlaka ya Bandari
24 641 просмотр · 10 л. назад
Gerson Msigwa
372 подписчика
24 641 просмотр · 10 л. назад
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh: Majaliwa Kassim Majaliwa awasimamisha kazi watendaji wa Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA na atangaza maamuzi ya Rais Magufuli kuvunja bodi ya TPA na kutengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi na kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi