Перейти к содержимому

Watoto wa Deo Filikunjombe Wanena Mazito Miaka Miwili Baada ya Kifo cha Baba Yao

Global TV Online

0:00 / 0:00

Watoto wa Deo Filikunjombe Wanena Mazito Miaka Miwili Baada ya Kifo cha Baba Yao

252 822 просмотра · 8 лет назад
Global TV Online
5,95 млн подписчиков
252 822 просмотра · 8 лет назад
Subscribe    / uwazi1   IKIWA imetimia miaka miwili tangu kufariki kwa aliyekuwa Filikunjombe, mkewe Bi. Sarah Filikunjombe amefunguka mazito ikiwa ni pamoja na namna ambavyo ameendelea kuumizwa na kifo cha mumewe lakini pia mikikimikiki ya kupambana na maisha ili kuilea familia na watoto kuendelea kupata elimu bora. Katika misa ya maadhimisho hayo jana nyumbani kwake, Mbagala-Kijichi jijini Dar, Sarah alisema akiwa kama mama anahakikisha maisha ya watoto wake yanastawi na kwamba kuna wakati maneno ya atoto hao, ambao ni Lee, Levis na Larry humuumiza pale wanaposema namna wanavyomkosa baba yao katika maisha. Aidha, kwa upande ndugu na jamaa wakiwemo aliokuwa marafiki wa marehemu Deo amewashukuru kwa namna ambavyo wamekuwa wakijitoa kumpa faraja na michango ya mawazo mbalimbali kuhusu maisha ingawa kuna baadhi wamejitenga na familia yake tofauti na alivyokuwa akitarajia. “Maisha yameendelea lakini kwa kweli kifo cha mume wangu hakisahauliki maishani mwangu, napambana kuhakikisha mahitajin ya wanangu ikiwemo kupatab elimu bora yanatimia tena kwa wakati, lakini kuna wakati kama familia tunamkumbuka sana Deo, lakini pia kuna wakati maneno ya wanangu mfano kama huyu Lee kwamba wanamkumbuka baba yao hakika huwa yananiumiza sana. “Nawashukuru sana ndugu, jamaa na marafiki ambao wameendelea kuwa karibu na mimi kwa faraja na michango ya kimawazo, ingawa kuna baadhi ambao wamejitenga kabisa tofauti na ambavyo nilikuwa nawaza, lakini silauu maana maisha yamekuwa magumu na kila mtu anakimbizana na mchakamchaka wa maisha, namuombea tu mume wangu Deo, Mungu yu mwema,” alisema Sarah. FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli.  .