DOZI YA KUKUPANDISHA VIWANGO VYA JUU SANA BILA KUJALI VIKWAZO | Rose Shaboka | New Levels (Part 1)
Hub of Wisdom Inc.
0:00 / 0:00
DOZI YA KUKUPANDISHA VIWANGO VYA JUU SANA BILA KUJALI VIKWAZO | Rose Shaboka | New Levels (Part 1)
1 002 просмотра · 1 день назад
Hub of Wisdom Inc.
143 тыс. подписчиков
1 002 просмотра · 1 день назад
Unataka kuingia viwango vipya vya maisha, mafanikio na maendeleo? 🔥 Kila hatua mpya inahitaji mabadiliko ya namna unavyofikiri, unavyochukua hatua na unavyojenga maisha yako.
Katika mafunzo haya, Rose Shaboka anaeleza mambo muhimu ya kuzingatia ikiwa unataka kutoka ulipo sasa na kufikia kiwango kipya cha maisha.
🎯 NEW LEVELS inaanzia kwenye maamuzi, mindset, nidhamu na hatua unazochukua kila siku.
Tuandikie maoni yako kwenye comment section @auhubofwisdom.inc au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media
------------------------
H.W Media... Welcome to the Home of Positive Vibes!
#RoseShaboka #NewLevels #PersonalDevelopment #MaendeleoBinafsi #Motivation #HWMEDIA #HubOfWisdom #Success #MindsetAngalia