Nani msema kweli: Iran yakanusha kufanya mazungumzo na Marekani
BBC News Swahili
0:00 / 0:00
Nani msema kweli: Iran yakanusha kufanya mazungumzo na Marekani
29 254 просмотра · 6 месяцев назад
BBC News Swahili
1 млн подписчиков
29 254 просмотра · 6 месяцев назад
Rais wa Marekani Donald Trump amesema amehairisha mashambulizi yote ya kijeshi dhidi ya mitambo ya umeme ya Iran na miundombinu ya nishati kwa siku tano - kufuatia kile alichokiita "mazungumzo yenye tija" kuhusu "suluhisho kamili la kumaliza uhasama". Mazungumzo ambayo Iran imekanusha kufanyika.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili