Manga Kigi Freedom Official Video
Manga Kigi
0:00 / 0:00
Manga Kigi Freedom Official Video
1 349 просмотров · 2 нед. назад
Manga Kigi
541 подписчик
1 349 просмотров · 2 нед. назад
🎵 MANGA KIGI — FREEDOM 🎵
Karibu kwenye video rasmi ya wimbo mpya “FREEDOM” kutoka kwa msanii Manga Kigi.
“FREEDOM” ni wimbo unaobeba ujumbe wa uhuru, maisha, matumaini na nguvu ya kusimama imara licha ya changamoto zinazotukabili. Ni sauti ya mtu anayechagua kuishi kwa uhuru, kuamini ndoto zake na kupambana hadi kufikia anachokiamini kwa msaada wa Yesu Kristo Bwana Wetu.
🎬 ARTIST: Manga Kigi
🎵 SONG: Freedom
🎥 DIRECTED BY: C-Seven
Mawasiliano
+255 652 519 556