Ibada ya Lunch hour | 16 - 09 - 2026 I Mt. Israel Mmari
Azania Front Cathedral
0:00 / 0:00
Ibada ya Lunch hour | 16 - 09 - 2026 I Mt. Israel Mmari
1 034 просмотра · Трансляция закончилась 3 дня назад
Azania Front Cathedral
5,78 тыс. подписчиков
1 034 просмотра · Трансляция закончилась 3 дня назад
Karibu katika Ibada ya Mchana kutokea hapa kanisa Kuu Azania Front Posta Dar Es Salaam.
🎙️Wiki hii tuko na mtumishi wa Mungu ; Mt. Israel Mmari
👉 Tuna somo lenye kichwa :- MUNGU AWEZA KUYATENDA KWAKO YALE AMBAYO HAYAJATENDEKA.
📋1 SAMWELI 10: 5 - 12
5. Baada ya hayo utafika Gibea ya Mungu, hapo palipo na ngome ya Wafilisti; kisha itakuwa, utakapofika mjini, utakutana na kundi la manabii wakishuka kutoka mahali pa juu, wenye kinanda, na tari, na kinubi, na filimbi mbele yao, nao watakuwa wakitabiri;
6. na roho ya Bwana itakujilia kwa nguvu, nawe utatabiri pamoja nao, nawe utageuzwa kuwa mtu mwingine.
7. Basi, hapo ishara hizi zitakapokutukia, fanya kama uonavyo vema; kwa kuwa Mungu yu pamoja nawe.
8. Nawe utatelemka mbele yangu mpaka Gilgali; nami, angalia, nitakutelemkia huko, ili kutoa sadaka za kuteketezwa, na kuchinja sadaka za amani; siku saba utangoja, hata nitakapokujia, na kukuonyesha yatakayokupasa kuyafanya.
9. Ikawa, alipogeuka kumwacha Samweli, Mungu akambadilisha moyo; nazo ishara zile zote zikatukia siku ile ile.
10. Basi, walipofika Gibea, tazama, kikosi cha manabii wakakutana naye; kisha roho ya Mungu ikamjilia kwa nguvu, naye akatabiri kati yao.
11. Ikawa, wote waliomjua zamani walipoliona jambo hilo, kwamba, tazama, huyo anatabiri pamoja na manabii, ndipo watu wakasemezana, Ni nini hilo lililompata mwana wa Kishi? Je! Sauli pia yumo miongoni mwa manabii?
12. Naye akajibu mtu mmoja wa mahali hapo, akasema, Na baba yao n'nani? Kwa hiyo ikawa mithali, Je! Sauli pia yumo miongoni mwa manabii?
...........................
1 WAKORINTHO 2: 9
9. lakini, kama ilivyoandikwa, Mambo ambayo jicho halikuyaona wala sikio halikuyasikia, (Wala hayakuingia katika moyo wa mwanadamu,) Mambo ambayo Mungu aliwaandalia wampendao.
...........................
👉 KWA MAOMBI NA USHAURI :
☎️ +255 748 290 290 - MCH. VICTOR MAKUNDI
👉 SADAKA:
LIPA NAMBA [ M-PESA ]: 579 579 4
............................
Shiriki nasi zaidi kupitia:
/Instagram page: / kkkt_azaniafront_cathedral
/Facebook page: https://www.facebook.com/profile.php?...
/Youtube page: / @azaniafrontcathedral
/Website : https://azaniafront.or.tz/
#azaniafrontcathedral #ibadahonline #injiliyakristo #lutheranchurchlivetoday