Перейти к содержимому

APOSTLE MWINGIRA MSAMEHE MCHUNGAJI HUYU - NABII PHILBERT CHRIST, AMTAJA ASKOFU GWAJIMA

MBISE TV

0:00 / 0:00

APOSTLE MWINGIRA MSAMEHE MCHUNGAJI HUYU - NABII PHILBERT CHRIST, AMTAJA ASKOFU GWAJIMA

2 831 просмотр · 15 часов назад
MBISE TV
8,72 тыс. подписчиков
2 831 просмотр · 15 часов назад
Katika tukio la kustaajabisha na lenye kufundisha somo zito la kiroho, Nabii (Prophet) Filbert Christ amesimama na kumwombea msamaha Mchungaji Denis mbele za Mungu na kwa Baba yake wa kiroho, Apostle Josephat Mwingira. ​Mchungaji Denis alikiri na kuonyesha majuto baada ya kubaini kuwa alimkosea na kwenda kinyume na Baba yake wa kiroho. Kufuatia tukio hilo, Phophet Filbert Christ ametoa onyo zito kwa waumini na watumishi wote kuhusu umuhimu wa kuheshimu na kutowakosea wazazi wao wa kiroho. ​🔔 KARIBU SANA MBISE TV! Tafadhali bonyeza kitufe cha SUBSCRIBE na uwashe kengele ya taarifa (Notification Bell) ili uwe wa kwanza kupata mafundisho, habari, na vipindi vyetu vya kiroho kila vinapotoka. ​Pia usisahau ku-Like, kuweka Comment yako, na ku-Share video hii na wengine ili ujumbe huu uwafikie wengi zaidi. Ahsante sana kwa kuendelea kuwa sehemu ya familia ya Mbise TV! #MbiseTV #ApostleMwingira #ProphetFilbertChrist #WazaziWaKiroho #MafundishoYaKiroho