Gaborone United 0-1 Simba SC | Highlights | CAF CL - 20/09/2025
Azam TV
0:00 / 0:00
Gaborone United 0-1 Simba SC | Highlights | CAF CL - 20/09/2025
119 983 просмотра · 1 год назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
119 983 просмотра · 1 год назад
Tazama matukio yote makubwa yaliyojiri kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya wenyeji Gaborone United dhidi ya Simba SC.
Ni mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCC
Goli la Simba limefungwa na Elie Mpanzu
Mechi imepigwa kwenye Dimba la Francistown nchini Botswana