Перейти к содержимому

DUUUH!!!!!!! HIii ndio hali ya washirikina Akherah!

Markaz Ahlul Hadith Wal Athar ONLINE TV

0:00 / 0:00

DUUUH!!!!!!! HIii ndio hali ya washirikina Akherah!

24 просмотра · 4 мес. назад
Markaz Ahlul Hadith Wal Athar ONLINE TV
9 подписчиков
24 просмотра · 4 мес. назад
🌙 Karibu katika channel yetu ya MARKAZ AHLUL HADITHI WAL ATHAR inayolenga kusambaza elimu sahihi ya Qur-aan na Sunnah kwa mujibu wa uelewa wa Salafus-Swaalih. 📖 Utapata: ✔ Darsa za Kiislamu ✔ Tafsiri ya Qur-aan ✔ Mafunzo ya Hadiyth ✔ Masomo ya Tawhiid na Aqiydah ✔ Ukumbusho wa Kiislamu ✔ Nasaha na mawaidha ya kuimarisha Imani 🎙 Tunajitahidi kueneza elimu yenye manufaa kwa Waislamu wote kupitia mihadhara, darsa, na mafunzo mbalimbali ya dini. 🔔 Subscribe ili upate darsa mpya kila wakati na usisahau kushare kwa wengine ili elimu iwafikie wengi zaidi. 🤝 “Mbora wenu ni yule anayejifunza Qur-aan na akaifundisha.” #ElimuYaKiislamu #Quran #Sunnah #Dawah #IslamicReminder #Tawheed #Hadith #SwahiliIslamicLessons