Перейти к содержимому

Wasukuma na Ngitili: Mfumo wa Uhifadhi Unaowatajirisha

Anna Peter

0:00 / 0:00

Wasukuma na Ngitili: Mfumo wa Uhifadhi Unaowatajirisha

1 028 просмотров · 4 года назад
Anna Peter
734 подписчика
1 028 просмотров · 4 года назад
Tanzania Kijani: Tafiti Mbalimbali za Kisayansi zimeeleza kuwa Ngitili ni Mfumo wa Asili wa Uhifadhi wa Jamii ya Wasukuma wenye manufaa katika Uhifadhi wa bioanuai. Ni mfumo ambao unasaidia serikali kushirikiana na wananchi katika Uhifadhi wa Rasilimali za Misitu kwa njia za kirafiki. Wilaya ya Kishapu ni miongoni mwa maeneo ambayo mfumo huo unapatikana, nimezungumza na mwenyeji mwenye Ngitili yenye ukubwa wa heka 100, amenieleza manufaa anayoyapata kupitia Ngitili hiyo. ______________________________________________ Camera: Adrian Mlau Drone: Ahmed Mbaraka Producer: Anna Peter ________________________________________________ Fatilia kipindi cha Tanzania Kijani TBC1 kila JUMAMOSI saa 12:30jioni na JUMATATU saa 3:00 asubuhi