Перейти к содержимому

Ahimidiwe Bwana Mungu || Joseph Kyalo || (Official Video) || St. Peter's Catholic Choir ||

ST. PETER'S CATHOLIC CHOIR KABARAK

0:00 / 0:00

Ahimidiwe Bwana Mungu || Joseph Kyalo || (Official Video) || St. Peter's Catholic Choir ||

7 263 просмотра · 8 мес. назад
ST. PETER'S CATHOLIC CHOIR KABARAK
790 подписчиков
7 263 просмотра · 8 мес. назад
Tunamshukuru Mungu kwa neema na uhai kwa kutuwezesha kuwasilisha wimbo huu wa sifa na shukrani, “Ahimidiwe Bwana Mungu.” Wimbo huu unatoka moyoni, ukiwa ni ushuhuda wa matendo makuu ya Mungu katika maisha yetu. Ni ombi letu kwamba kupitia uimbaji huu, jina la Bwana litukuzwe na wengi wabarikiwe. Tunakualika utazame, usikilize na uungane nasi katika kumsifu Mungu. #choir #catholic #catholicfaith #prayer #trending #gospelmusic #hitsong #music #Ahimidiwe Bwana Mungu Composer: Joseph Kyalo Organist : Baraka .T. Mashibe Audio : Neema Pro Studios Video : Kay Amoh