Перейти к содержимому

Vibonzo vya Elimu ya Usalama Barabarani kutoka SNUSR (Swahili ver)

SNU SR

0:00 / 0:00

Vibonzo vya Elimu ya Usalama Barabarani kutoka SNUSR (Swahili ver)

1 240 просмотров · 5 лет назад
SNU SR
1,56 тыс. подписчиков
1 240 просмотров · 5 лет назад
Video hii imetayarishwa kama sehemu ya mpango wa 'Kikosi cha Kidijitali cha Msimu wa Kikupwe mwaka 2020 kutoka SNU: Kuandaa Maudhui Rahisi' ulioandaliwa na Kituo cha Uwajibikaji wa kijamii Chuo Kikuu cha Kitaifa cha Seoul (SNUSR), Jamuhuri ya Korea. Video hii ya vibonzo kuhusu Elimu ya Usalama Barabarani imetolewa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kitaifa cha Seoul kwa ajili ya kila mtu mwenye uhitaji wa mambo muhimu ambayo ni rahisi kuelewa. Video hii imetolewa kwa ajili ya matumizi yasiyo ya kibiashara, na hairuhusiwi, kuweka matangazo ya kibiashara. Kikorea:    • 서울대학교 글로벌사회공헌단 도로안전 교육용 애니메이션(제작: 샤로등 팀)   Kiingereza:    • Seoul National University Social Responsib...   Kilao(Laos):    • SNUSR ພາບກາຕູນເຄື່ອນໄຫວເພື່ອການສຶກສາຄວາມປອ...   Khmer(Kambodia):    • SNUSR គំនូរជីវចលស្ដីពីការអប់រំសុវត្ថិភាពផ្...   #Usalama_wa_Barabarani #Usalama_wa_Trafiki #Elimu_ya_Usalama_Barabarani #Elimu_ya_Usalama_wa_Trafiki #Kadogoo #Video_ya_Vibonzo_ya_Elimu_ya_Usalama_wa_Barabarani #Elimu #Chuo_Kikuu_cha_Kitaifa_cha_Seoul #Kikosi_cha_Kidijitali_cha_SNU #Timu_ya_Taa_za_Barabarani_kwa_Maudhui_Rahisi #Maudhui_Rahisi Kifaa_cha_Elimu_kwa_Watu_wenye_Matatizo_ya_Ukuaji_wa_Kiakili #Kifaa_cha_Elimu_kwa_Watoto #Walio_na_Ugumu_wa_Kusoma #Video_ya_Vibonzo_kwa_Elimu #Taa_za_Barabarani #Kivuko-Milia #SIMAMA #ANGALIA #VUKA #HelmetI #Elimu_ya_Usalama #Korea #Tanzania #Kenya #Kambodia #Laos #Malaysia #Ufilipino #Singapore #Indonesia #Kikorea #Kiingereza #Kikhmer #Kilao #Kiswahili #Elimu_ya_Utotoni #Elimu_Maalum #Elimu_ya_Kikorea