MISA FADHILI na B. Mghanga (Revised) | St. Carlo Acutis Choir, Matasia Parish
Mwakazi Wachira
0:00 / 0:00
MISA FADHILI na B. Mghanga (Revised) | St. Carlo Acutis Choir, Matasia Parish
332 просмотра · 12 дн. назад
Mwakazi Wachira
535 подписчиков
332 просмотра · 12 дн. назад
UTUKUFU (Misa Fadhili) - Revised Lyrics
(B,T: Utukufu kwa Mungu juu mbinguni!)
[W:] Utukufu kwa Mungu juu mbinguni, na amani duniani kwa watu aliowaridhia.
1. [S,A:] Tunakusifu, tunakuheshimu, tunakuabudu tunakutukuza.
2. [T,B:] Tunakushukuru kwa ajili, ya utukufu wako, wako mkuu.
3. [S,A:] Ee Bwana Mungu mfalme wa Mbinguni, Mungu Baba Mungu Baba Mwenyezi.
4. [T,B:] Ee Bwana Yesu Kristo mwana pekee, Ee Bwana Mungu Mwanakondoo wa Mungu, mwana wa Baba, mwana wa Baba.
5. [S,A:] Mwenye kuondoa dhambi za ulimwengu, utuhurumie, utuhurumie.
6. [T,B:] Mwenye kuondoa dhambi za ulimwengu, pokea ombi, pokea ombi letu.
7. [S,A:] Mwenye kuketi kuume kwa Baba, utuhurumie, utuhurumie.
8. [T,B:] Kwa kuwa ndiwe uliye pekee yako mtakatifu, pekee yako Bwana uliye juu kabisa, Yesu Kristo, Yesu Kristo.
9. [W:] Pamoja na Roho Mtakatifu, katika utukufu wa Mungu Baba, Amina.
[W:] A-mina Aminaa Amina, A-mina Amina Amina, A-mina Amina Amina.
Follow St. Carlo Acutis Choir on:
TikTok: / stcarloacutischoir
Follow St. Dominic Savio Choir, Matasia Parish on:
TikTok: / st.dominic.savio96
YouTube: / @stdominicsaviomatasia2025
---------------------------------------------Products I Use------------------------------------------------
Hollyland Lark M2 Wireless Lavalier Microphone - https://amzn.to/4j6oFjj
USB to USB-C OTG Adapter: https://amzn.to/3QWkv0z
Hollyland Mics & Products - https://amzn.to/4adHw82
Your engagement will greatly assist with the channel's growth. Kindly watch each video to the end, like it and leave a comment. You can also subscribe to the channel, and turn on the bell notifications to receive new content whenever I upload it.
Thank you and be blessed for your support.
Enquiries: erickmwachira@gmail.com
Channel Support to: 0738091810
Subscribe to the channel: / @mwakaziewachiraofficial
Twitter: https://x.com/mwakazi_erick
#gloria #catholicmass #catholic #catholicchurch