Sheria Yako Bwana | Wimbo wa Katikati | Dominika 17 A
St. Paul's Students Choir University of Nairobi
0:00 / 0:00
Sheria Yako Bwana | Wimbo wa Katikati | Dominika 17 A
28 050 просмотров · 6 л. назад
St. Paul's Students Choir University of Nairobi
27,1 тыс. подписчиков
28 050 просмотров · 6 л. назад
Wimbo wa katikati Dominika ya 17 mwaka A Jumapili ya tarehe 26/7/2020
Zaburi: 119
Mtunzi: E. Ndumbaro
Waimbaji ni baadhi ya wanakwaya wa St Paul's Students Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi
Karibu kutazama wimbo wa katikati kila wiki pamoja na nyimbo nyingine za kwaya katoliki Kenya na Tanzania katika channel hii
Please like, share and subscribe lest you miss out our next uploads.
MANENO YA WIMBO
Sheria yako Bwana, naipenda, naipenda ajabu sharia yako.
Mashairi
1. Bwana ndiye aliye fungu langu, nimesema kwamba nitayatii nitayatii maneno yako
2. Sheria ya kinywa ya kinywa chako, ni njema kwangu kuliko maelfu maelfu ya dhahabu na fedha
3. Nakuomba fadhili zako zote, ziwe faraja kwangu sawasawa na ahadi ya mtumishi wako