TURUFU { 5 } 💞❤ Love story #dontatv #monalisa #mzeekikoti #turufu
Special One Entertainment
0:00 / 0:00
TURUFU { 5 } 💞❤ Love story #dontatv #monalisa #mzeekikoti #turufu
14 405 просмотров · 3 дн. назад
Special One Entertainment
17,8 тыс. подписчиков
14 405 просмотров · 3 дн. назад
TURUFU { 5 } 💞❤ Love story #dontatv #monalisa #mzeekikoti #turufu
KUINGIA GROUP LETU LA WHATSAPP GUSA LINK HAPA CHINI 👇👇
https://chat.whatsapp.com/EPZbcLwAzu5...
TURUFU - Episode { 5 }
Mama alificha siri nzito moyoni mwake kwa miaka mingi. Alizaa watoto wawili nje ya ndoa yake, na aliamua kuibeba siri hiyo kaburini.
Lakini baada ya mume wake wa ndoa kufariki, yule mwanaume aliyempa ujauzito anaamka na kudai haki yake - ANATAKA WATOTO WAKE.
Kwa bahati mbaya zaidi, binti yake ambaye hajui lolote kuhusu baba yake wa damu, Anamvutia kimapenzi!
Je, baba atamkubali binti yake bila kujali kuwa ni damu yake mwenyewe? Hapana! Baba anajua ukweli wote lakini hawezi kusema. Ni SIRI kati yake na mama wa watoto
Ni mtego gani huu wa hatima? Mama atafichua ukweli lini? Na nini kitatokea binti akigundua kuwa mwanaume anayempenda ndiye baba yake mzazi?
Usikose mwisho wa kushtusha!
#TurufuMovie #BongoMovie #SwahiliMovie #FilamuMpya #MapenziHaramu #SiriYaDamu
🔔 SUBSCRIBE SASA na bonyeza kengele usipitwe na episode zinazofuata
👍 Like, Comment na Share - Nini maoni yako? Mama wa watoto alikosea kuficha siri?
RATIBA YA KUPOST TURUFU.
J3 4:00 pm
J5 4:00 pm
Ijumaa 4:00 pm
J2 11:00 am
• TURUFU { 5 } 💞❤ Love story #dontatv #monal...
@specialoneentertainment
+255 719 333 527