Перейти к содержимому

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 02.11.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 02.11.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast

9 384 просмотра · Трансляция закончилась 7 ч назад
DW Kiswahili
338 тыс. подписчиков
9 384 просмотра · Трансляция закончилась 7 ч назад
Ni matangazo ya mchanayanayokujia moja kwa moja kutoka Bonn, Ujerumani. Katika Dunia Yetu Leo Mchana utasikia:- Iran imeonya kuwa vita vyovyote vipya na Marekani vinaweza kudumu kwa muda mrefu zaidi kuliko mapigano yaliyopita. Ukraine iko tayari kusitisha mashambulizi dhidi ya viwanda vya mafuta vya Urusi ikiwa itapatiwa mifumo ya ulinzi wa anga kutoka Marekani. #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.