Перейти к содержимому

Shuhudia nguvu za Nabii Mwingira akimsimika Mchungaji

BMG Digital

0:00 / 0:00

Shuhudia nguvu za Nabii Mwingira akimsimika Mchungaji

28 457 просмотров · 6 л. назад
BMG Digital
110 тыс. подписчиков
28 457 просмотров · 6 л. назад
Kiongozi wa Kanisa la EFATHA Tanzania, Mtume na Nabii Josephat Mwingira amemsimika Mchungaji wa Kanisa hilo mkoani Mwanza, Victor Malamla. Ibada hiyo imehudhuriwa na waamini, viongozi mbalimbali wa dini na Serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella. #BMGHabari