ABUNUAS NA PUNDA ANAYESOMA 🤯 | Simulizi ya Ajabu Iliyowashangaza Watu Wote
THE STORY EMPIRE
0:00 / 0:00
ABUNUAS NA PUNDA ANAYESOMA 🤯 | Simulizi ya Ajabu Iliyowashangaza Watu Wote
24 184 просмотра · 4 недели назад
THE STORY EMPIRE
11 тыс. подписчиков
24 184 просмотра · 4 недели назад
ABUNUAS NA PUNDA ANAYESOMA 🫏📖
Karibu katika simulizi nyingine ya kusisimua kutoka THE STORY EMPIRE.
Katika hadithi hii utasikia kisa cha ajabu cha Abunuasi, mtu mwenye akili na ujanja mkubwa, ambaye aliwafanya watu wote wa Baghdad kushangaa baada ya kudai kuwa anaweza kumfundisha punda kusoma.
Je, kweli punda anaweza kusoma? 🤔
Au ilikuwa ni ujanja mwingine mkubwa wa Abunuasi wa kufundisha watu somo muhimu?
Simulizi hii imejaa: ✨ Ucheshi
✨ Ujanja wa Abunuasi
✨ Mafunzo ya maisha
✨ Siri na mshangao
✨ Hadithi za kale za Baghdad
Usisahau: 👍 Like video hii
🔔 Subscribe THE STORY EMPIRE
💬 Comment unaangalia simulizi hii ukiwa nchi gani na mji gani
📲 Share na marafiki zako wapate burudani na mafunzo.
THE STORY EMPIRE PRESENTS
Simulizi na: ALLY MIKIDADY
#Abunuas #SimuliziZaKiswahili #TheStoryEmpire
#Abunuasi
#Abunuas
#PundaAnayesoma
#SimuliziZaKiswahili
#TheStoryEmpire
#HadithiZaKale
#HadithiZaKufundisha
#AllyMikidady
#ArabianStories
#SwahiliStories