Перейти к содержимому

Kumekucha kwa Uzuri | C.H. 18 | The Morning Bright With Rosy Light | Instrumental Hymn

Maarifa Mtandaoni

0:00 / 0:00

Kumekucha kwa Uzuri | C.H. 18 | The Morning Bright With Rosy Light | Instrumental Hymn

13 просмотров · 2 дня назад
Maarifa Mtandaoni
54 подписчика
13 просмотров · 2 дня назад
Kumekucha kwa Uzuri — C.H. 18 The Morning Bright With Rosy Light Karibu usikilize wimbo huu wa Kikristo katika toleo la Instrumental / Ala Beats, ukiwa umetayarishwa kwa ajili ya ibada, maombi, kutafakari na kujenga mazingira ya utulivu wa kiroho. 🎵 Kumekucha kwa Uzuri 📖 C.H. 18 🎼 The Morning Bright With Rosy Light 🎹 Instrumental Hymn / Ala Beats 🎶 Ubeti 1. Kumekucha kwa uzuri, nafumbua macho, Baba amenihifadhi, ni wake mtoto. 2. Bwana niwe leo kutwa, ulinzini mwako, Nisamehe dhambi, niwe mikononi mwako. 3. Roho wako anikae, moyoni daima, Anitakase nione, uso wako mwema. 🙏 Sikiliza kwa utulivu wakati wa ibada, maombi, kutafakari, kusoma Biblia au kupumzika. 📌 Maarifa Mtandaoni 🌐 maarifamtandaoni.com Subscribe na endelea kufuatilia nyimbo nyingine za Kikristo katika mfumo wa Instrumental / Ala Beats