Перейти к содержимому

💔 NIME-MOVE ON SIKUPENDI /FULL EPISODE#lovestory

Swahili Mbuga Story

0:00 / 0:00

💔 NIME-MOVE ON SIKUPENDI /FULL EPISODE#lovestory

8 316 просмотров · 5 дней назад
Swahili Mbuga Story
748 подписчиков
8 316 просмотров · 5 дней назад
💔 NIME MOVE ON ❤️ | FULL EPISODE Baada ya kuumizwa na kuachwa na mke wake wa zamani, mwanaume huyu anaamua kuanza maisha mapya. Anapata mwanamke tajiri anayempenda kwa dhati na kumpa nafasi ya kuamini mapenzi tena. ❤️ Lakini ex-wife yake hajakata tamaa. Anaomba msamaha kila siku na hata kupanga kuvunja uhusiano wao mpya. 😢🔥 Je, ataweza kuwaleta pamoja tena? Je, mapenzi yao mapya yataishia kwenye furaha au maumivu? 👀 🎬 Tazama FULL EPISODE hadi mwisho! 📺 Karibu Swahili Mbuga Story — simulizi za mapenzi, drama, maumivu na maisha. Like 👍 | Comment 💬 | Share 🔄 | Subscribe #swahilimovie #lovestory #romantic movie