Waliooa vs Hawajaoa | MUAFAKA Ep. 2 | Mwanaume lazima awe na pesa kabla ya kuoa?
Denzo Production
0:00 / 0:00
Waliooa vs Hawajaoa | MUAFAKA Ep. 2 | Mwanaume lazima awe na pesa kabla ya kuoa?
4 615 просмотров · 1 день назад
Denzo Production
475 подписчиков
4 615 просмотров · 1 день назад
MUAFAKA Episode 2, wanaume waliooa wanakutana ana kwa ana na wale ambao bado hawajaoa kufunguka mambo mazito ambayo wanaume wengi huyaweka moyoni:
🔹Je, mwanaume lazima awe na pesa kabla ya kuoa, au utulivu na maelewano ndio msingi?
🔹 Je, ndoa inaua ndoto na uhuru binafsi wa mwanaume?
🔹 Ukweli kuhusu uaminifu , mwanaume anaweza kutulia na mwanamke mmoja?
🔹 Kwa nini baadhi ya wanaume hawana furaha lakini wanaamua kubaki?
Hakuna upande unaokuja kushinda; tunazungumza, tunasikilizana, na kujenga uelewa wa pamoja. 🤝
Na wewe umeelewa zaidi upande gani? Tuambie kwenye maoni hapo chini — na JE, TUMEPATA MUAFAKA? 🟩🟥
Usisahau KU-SUBSCRIBE, kuweka LIKE, na KUSHARE mjadala huu na marafiki zako!
⏱️ MASWALI NA DAKIKA YANAZUNGUMZWA:
00:48 - Utambulisho wa washiriki (Waliooa vs Hawajaoa)
01:15 - Mwanaume lazima awe imara kiuchumi kabla ya kuoa?
34:07 - Mwanaume ananufaika zaidi akiwa ndani ya ndoa au akiwa hajaoa?
53:40 - Ndoa inapunguza uhuru wa kutimiza malengo na ndoto binafsi?
01:11:44 - Mwanaume anaweza kuwa mwaminifu kwa mwanamke mmoja maisha yote?
01:34:56 - Wanaume wengi hawana furaha kwenye ndoa lakini wanabaki?
01:49:05 - Kuna wakati unatamani maisha ya upande wa pili?
01:57:33 - Hitimisho: Kila mshiriki alichojifunza kwa wenzake na upi ni MUAFAKA
Unataka kuwa mmoja wa washiriki wa MUAFAKA?
Bonyeza kiungo hiki: https://ee.kobotoolbox.org/x/TIxaQMGG
A DENZO Production | Dar es Salaam, Tanzania
📸 Instagram: / denzo.production
👍 Facebook: Denzo Production
📧 info@denzoproduction.com
#MUAFAKA #DenzoProduction #Ndoa #Mahusiano #Wanaume #Tanzania
#MUAFAKA #DenzoProduction #Tanzania #Ndoa #Wanaume #Bongo #Mahusiano