Перейти к содержимому

KILIMO CHA ILIKI KIBIASHARA, UZOEFU WA MKULIMA, KilimoPro

KilimoPro Tanzania

0:00 / 0:00

KILIMO CHA ILIKI KIBIASHARA, UZOEFU WA MKULIMA, KilimoPro

1 028 просмотров · 4 месяца назад
KilimoPro Tanzania
11,6 тыс. подписчиков
1 028 просмотров · 4 месяца назад
Iliki ni zao lenye thamani kubwa sokoni, lakini mafanikio yake yanategemea zaidi ubora wa uzalishaji na huduma sahihi shambani. Kwenye video hii utaona mambo muhimu ya kuzingatia katika kilimo cha iliki kuanzia uchaguzi wa mbegu bora, maandalizi ya shamba, upandaji, matumizi sahihi ya mbolea, umwagiliaji, kudhibiti magonjwa na wadudu hadi hatua za uvunaji na uhifadhi. Pia tumezungumzia huduma muhimu zinazosaidia kuongeza ubora wa iliki ili kupata bei nzuri sokoni na kuongeza faida kwa mkulima. Kama unataka kuingia kwenye kilimo cha viungo chenye tija na soko la uhakika, video hii ni muhimu sana kwako. Wasiliana nasi +255 715 866 027 | @Kilimoprotanzania