Перейти к содержимому

BABA LEVO KUWAKUTANISHA ALIKIBA NA DIAMOND PLATNUMZ KWENYE UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI SGR KIGOMA…

ONE VISION TV

0:00 / 0:00

BABA LEVO KUWAKUTANISHA ALIKIBA NA DIAMOND PLATNUMZ KWENYE UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI SGR KIGOMA…

409 просмотров · 2 месяца назад
ONE VISION TV
1,15 тыс. подписчиков
409 просмотров · 2 месяца назад
Mapema siku ya leo, Mbunge wa Kigoma Mjini, Mheshimiwa Clayton Chipando (Baba Levo), amezungumza na waandishi wa habari kuelezea maandalizi ya hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) mkoani Kigoma, hafla inayotarajiwa kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika mazungumzo hayo, Baba Levo ameeleza kuwa wasanii wakubwa wa muziki nchini, Alikiba na Diamond Platnumz, wanatarajiwa kushiriki katika hafla hiyo kwa lengo la kuungana na wananchi wa Kigoma katika kusherehekea hatua hiyo muhimu ya maendeleo. Tazama video hii ujue Baba Levo amesema nini, maandalizi ya hafla hiyo yakoje, na ujumbe wake kwa wananchi kuelekea tukio hilo kubwa. Usisahau ku-like, ku-comment, ku-share na ku-subscribe ili kuendelea kupata taarifa za uhakika kuhusu siasa, burudani na matukio mbalimbali nchini. #BabaLevo #ClaytonChipando #SamiaSuluhuHassan #SGR #Kigoma #Alikiba #DiamondPlatnumz #OneVisionTV