Перейти к содержимому

JE, DAMU IKITOKA BAADA YA HEDHI, MWANAMKE ATAOGA TENA JOSHO? Sheikh Othman Atoa Majibu

SINGO MEDIA

0:00 / 0:00

JE, DAMU IKITOKA BAADA YA HEDHI, MWANAMKE ATAOGA TENA JOSHO? Sheikh Othman Atoa Majibu

697 просмотров · 4 мес. назад
SINGO MEDIA
80,1 тыс. подписчиков
697 просмотров · 4 мес. назад
Je, mwanamke akiona damu baada ya kumaliza hedhi na tayari ameshaoga josho, hukumu yake ni ipi? Je, atalazimika kuoga tena, au kuna ufafanuzi mwingine katika Sharia? Katika muhadhara huu, Sheikh Othman Khamisi anafafanua hukumu ya damu inayotoka baada ya hedhi kwa mujibu wa Qur'an, Sunnah, na maelezo ya wanazuoni. Muhadhara huu unasaidia kuelewa ibada za twahara kwa usahihi na kuepuka kuchanganyikiwa katika utekelezaji wa hukumu za dini. 🔔 Usisahau: Subscribe kwa mawaidha na masomo zaidi. Like na Share ili elimu hii iwafikie wengine. Andika maoni yako kwa heshima kwenye sehemu ya comments. #SheikhHusseinPocho #Hedhi #Josho #Twahara #Fiqhi #Mawaidha #Uislamu #SingoMedia