Перейти к содержимому

#LIVE || MISA TAKATIFU YA KIPAIMARA, KUSIMIKWA PAROKO PAROKIA SALASALA-JIMBO KUU DAR ES SALAAM.

KANISA TV🙏💒, UTUME POPOTE ULIPO

0:00 / 0:00

#LIVE || MISA TAKATIFU YA KIPAIMARA, KUSIMIKWA PAROKO PAROKIA SALASALA-JIMBO KUU DAR ES SALAAM.

376 просмотров · Трансляция закончилась 13 часов назад
KANISA TV🙏💒, UTUME POPOTE ULIPO
5,19 тыс. подписчиков
376 просмотров · Трансляция закончилась 13 часов назад
#LIVE || MISA TAKATIFU YA KIPAIMARA KUTOKA PAROKIA YA - PAROKIA SALASALA-JIMBO KUU DAR ES SALAAM. ▪︎ Karibu katika Adhimisho Misa Takatifu ya Utolewaji wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara Kwa Watoto 117 kutoka Parokia Mtakatifu Augustino Salasala Jimbo Kuu la Dar es Salaam. ▪︎ Misa imeadhimishwa na Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es salaam Mhashamu Judda Thaddeus Ruwai'ich OFMcup akishirikiana na Mapadre tofauti akiwemo Padre Kioko Paroko wa Parokia hii. #karibu endelea Kufuatilia, kusapoti na kuiwezesha KANISA TV ili iweze kutangaza zaidi Neno la Mungu kwa njia hii ya Kiteknorojia Tafadhari Subscribe, Like, Comment na Ku share kwa Watu wengine waweza kutuunga mkono kutuma chochote kwajili ya kusapoti Uinjilishaji namba / Yas 0657793511 Jina Dominicus Haule pia Airtelmoneys 0667213977 Dominicus Haule KANISA TV💒🙏, Utume popote ulipo.