Перейти к содержимому

SWALA YENYE RAKAA 22 YA KUOMBA JAMBO LOLOTE GUMU KUWA JEPESI / SOMA NA DUA HII ITAKUSHANGAZA

Jawaab TV

0:00 / 0:00

SWALA YENYE RAKAA 22 YA KUOMBA JAMBO LOLOTE GUMU KUWA JEPESI / SOMA NA DUA HII ITAKUSHANGAZA

25 287 просмотров · 1 г. назад
Jawaab TV
14,6 тыс. подписчиков
25 287 просмотров · 1 г. назад
SULTAN SHEIKH SHARIFU AKIELEZEA SWALA YA RAKAA 22 YENYE UWEZO WA KUFANYA JAMBO GUMU KUWA JEPESI Karibu ujiunge kwenye Group letu la WhatsApp UFUMBUZI WA KIROHO ambalo tunajifunza zaidi kuhusu👇 ▶️Siri, faida na taratibu za adhkar mbalimbali. ▶️Faida za aya za Qur'an katika uchamungu na kujitibu. ▶️Elimu kuhusu Swala na Ibada mbalimbali. Group hili lina misingi na kanuni maalumu ambazo mtu atatakiwa kuzifuata zote na sio bure lina ada ya kujiunga ambayo ni Tsh. 20,000/= ⏩️Sababu ya kuwepo kwa group hili ni kuwarahisishia wale wenye lengo la dhati ya kujifunza zaidi na ada imewekwa ili watu wapate uchungu kwa ile elimu watakayoipata. KWA WANAOTAKA KUJIUNGA TUMA MESEJI WHATSAPP KUPITIA NAMBA HII +255714292709 📌 Assalam alaikum warahmaturah wabarakatuh🙏 Gusa Link kujiunga na Channel yetu ya WhatsApp👇 https://whatsapp.com/channel/0029Vb6p... #africa #tanzania #jawaabtv