Перейти к содержимому

Gereza la Kamiti limekuwa likitumika kutoa mafunzo ya itikadi kali kwa wafungwa

KTN News Kenya

0:00 / 0:00

Gereza la Kamiti limekuwa likitumika kutoa mafunzo ya itikadi kali kwa wafungwa

1 564 просмотра · 11 л. назад
KTN News Kenya
3,46 млн подписчиков
1 564 просмотра · 11 л. назад
Kamishna wa Magereza Isaiah Osugo amepuzilia mbali habari kuwa Gereza kuu la Kamiti limekuwa likitumika kutoa mafunzo ya itikadi kali kwa wafungwa ili baadaye wahusishwe kwenye maswala ya ugaidi. Osugo pia amekanusha madai kuwa watu wasiojulikana wameingia kwenye gereza hilo wakiwa wamejihami kwa bunduki. Osugo amezuru kamiti baada kuibuka taarifa hizo kwenye vyombo vya habari. Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Follow us on   / ktnkenya   Like us on   / ktnkenya