Перейти к содержимому

LIVE: MAKAMBI UBUNGO HILL || UIMBAJI & IBADA KUU || ASUBUHI || 06-09-2025

Ubungo Hill SDA Church

0:00 / 0:00

LIVE: MAKAMBI UBUNGO HILL || UIMBAJI & IBADA KUU || ASUBUHI || 06-09-2025

721 просмотр · Трансляция закончилась 1 г. назад
Ubungo Hill SDA Church
1,52 тыс. подписчиков
721 просмотр · Трансляция закончилась 1 г. назад
Kanisa la Waadventista wa Sabato Ubungo Hill linakualika katika Makambi 2025 // NITAKWENDA NIKIMTUMAINI YESU. Tarehe: 30/08 - 06/09/2025 Mahali: Kanisa la Waadventista wa Sabato Ubungo Hill Wahudumu; 1. Mch. Abieza Ntahali 2. Mch. Reward Mbaga 3. Dr. Watson Mwaibasa 4. Ev. Anania Msola 5. Mch. Shemu Lugwisha Kwaya/Kikundi alikwa: 1. Pasiansi Adventist Choir 2. Wazamani Ministry. Kanisa la Waadventista wa Sabato Ubungo Hill ‪@ubungohillsdachurch‬ linawakaribisha watu wote katika Sikukuu za Vibanda (Makambi 2025). Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji. Yusuph I. Juma +255 714 917 779 Kama una ushauri au malalamiko kuhusiana matangazo yetu karibu kuwasiliana nasi kwa simu, meseji au WhatsApp kwa namba +255 769 778 357 / +255 752 618 824 au barua pepe ubhillsdacomm@gmail.com au ubhillsda@gmail.com SADAKA YA SHUKRANI, SADAKA YA UJENZI WA KAMBI, ZAKA NA SADAKA Unaweza kutoa SADAKA yako kupitia Mpesa, LIPA namba: 5233212 , Yas LIPA namba: 5331483, Jina: UBUNGO HILL SDA CHURCH au kupitia Bank Account: 20810047363 (NMB) na 015C493285900 (CRDB) kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 755 694 297 (Mhazini wa Kanisa- Tumaini Mihila). Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: , watumie na marafiki pia. Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye: Facebook Page: Ubungo Hill Sda Church Instagram: ubungohillsdachurch