Huduma Bora kwa Watoto, Karibu Medikea
Medikea Clinic
0:00 / 0:00
Huduma Bora kwa Watoto, Karibu Medikea
59 просмотров · 1 г. назад
Medikea Clinic
7,88 тыс. подписчиков
59 просмотров · 1 г. назад
Daktari wetu bingwa wa watoto anapatikana kila Ijumaa na Jumamosi hapa Medikea – Makumbusho Stand, Dar es Salaam.
Tunaelewa kuwa mtoto anahitaji zaidi ya dawa, anahitaji uangalizi, faraja na mazingira rafiki. Hapa Medikea, tunahakikisha kila mtoto anahudumiwa kwa upendo na uangalifu wa hali ya juu.
📅 Weka miadi mapema ya kuonana na Daktari.
📞 Kwa maelezo zaidi tupigie simu kwa namba: 0763100093
📲 Instagram: @medikea.health
👉🏾 Karibu Medikea mahali salama na rafiki kwa afya ya mtoto wako.
#HudumaKwaWatoto #DaktariWaWatoto #MedikeaClinic #AfyaYaMtoto #DarEsSalaam #Makumbusho