Ibrah Nation - Tabibu (Official Music Video)
Nation Music
0:00 / 0:00
Ibrah Nation - Tabibu (Official Music Video)
525 430 просмотров · 8 лет назад
Nation Music
30,4 тыс. подписчиков
525 430 просмотров · 8 лет назад
Ibrah Nation - Tabibu (Official Music Video)
Stream & Download Tabibu:
Apple Music: https://apple.co/2Ouv5Os
Spotify: https://spoti.fi/2NM043a
(song.link)Worldwide: https://bit.ly/2Co1XBl
Subscribe to Ibrah`s Channel: https://bit.ly/2DMivoT
Follow Ibrah on...
Instagram: https://www.instagram.com/ibrahnation...
Video Director : Deo Abel
Audio Produced by Ringtone on then beat.
IBRAH NATION, TABIBU LYRICS:
Tatizo ni nini mama,mbona hatuelewani?
Umerudi usiku saana,na umeletwa na nani?
swali ni rahisi saana,unazunguka tu
Ukishindwa unatukana na kununa juu.
Natamani turudi enzi,ulizoniitaga my darling
usiku unaniita tulale nikukumbatie
Nakumbuka yale mapenzi,yalionifanya nisiwaze
Leo umenizoea unaniona mi fala wee
Naona kama nikuache, Tabibu wangu
Labda nikiondoka ndo utajua ,umuhimu wangu
Naona kama nikuachilie,tabibu wangu
labda nikiondoka ndo utajua,umuhimu wangu
Siumeshajua unapendwa basi ndo nongwa
Visa mikasa haviishi kunizonga
hata nijikome kwa zawadi najiroga
pesa ntarudishiwa,nguo nitapondwa
Natamani turudi enzi,ulizoniitaga my darling
usiku unaniita tulale nikukumbatie
nakumbuka yale mapenzi,yalionifanya nisiwaze
leo umenizoea unaniona fala wee
Naona kama nikuache,tabibu wangu
labda nikiondoka ndo utajua umuhimu wangu
naona kama nikuachilie,tabibu wangu
labda nikiondoka ndo utajua umuhimu wangu
By show,
I love you baby, nilivyokufa kwako
Utanipa uchizi
Momy love,unashindwa kuniface
unieleze tatizo unanidiscuss.