Перейти к содержимому

KDT Praise And Worship Team - Jina Lako (Pre - Live Music Video )

KDT PRAISE TEAM

0:00 / 0:00

KDT Praise And Worship Team - Jina Lako (Pre - Live Music Video )

1 926 просмотров · 2 г. назад
KDT PRAISE TEAM
120 подписчиков
1 926 просмотров · 2 г. назад
Mungu ametupa Neema ya kukuhudumia kwa ujumbe huu ndani ya wimbo huu #JINA LAKO. Flp 2:9-11 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba. Sisi Kama familia ya KDT Praise Team - tunaungana na wewe mtazamaji na msikilizaji kukili kuwa kwa hakika hakuna jina lingine isipokluwa Jina la Yesu. Mafunuo ya Ujumbe huu yalizaliwa/ Kuanzishwa na mwana familia Mr. Daniel Jonas na Kukamilishwa na Jopo la Walimu Chini ya Mwalimu Kiongozi Madam Shukrani - Kisha kutekelezwa na kundi katika uwasilishwaji kwa hadhila. 𝗖𝗥𝗘𝗗𝗜𝗧: 𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫: Deliverance Media 𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐄𝐝𝐢𝐭𝐨𝐫: Big Pro 𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨 & Mixing Erick Nazareth (Jerick Music) 𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 & 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞: Kizazi Cha wamtafutao Bwana (KCWB) 𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫 capturing : Roden Dandar 𝐌𝐨𝐧𝐢𝐭𝐨𝐫 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Manota Sound 𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐏𝐫𝐨𝐯𝐢𝐝𝐞𝐫: Peter Light 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞 𝐃𝐞𝐬𝐢𝐠𝐧: Mama Geny MUSICIAN Erick Nazareth - Main Keys (MD) Gabriel Kulola - Aux 1 (Pad/Strings/Organ) Udugu Ramadhani - Aux 2 (Brass/Synth) Mackadam George - (Bass Guitar) Daniel Jonas - (Solo Guitar) Yuston The Drummer - (Drum) Wimbo huu ulipata kibali cha kurekodiwa siku ya Ibada ya Usiku wa Agano - amba kwa hakika ndio walifanyika kama wadhamini wa kuu - KDT PRAISE & WORSHIP TEAM - Ni kundi maalumu lenye uongozi na viongozi - chini ya mbeba maono Rev. Adrehem Mteule wa Jehova kwa wangalizi wa kanisa la TAG - Kahama Deliverance Temple. .. Tumekusudia kumtangaza Kristo kwa Mataifa yote kwa njia ya Uimbaji. Mawasiliano Yetu. 0769383832 (Namba ya Ofisi) 0655835824 (Mkurugezi wa Kundi) endelea kufuatana nasi kupitia ukurasa huu kujifunza na kuhudumiwa kwa mengi zaidi